Monday, June 6, 2011

Umuhimu Wa Jamii Kutumia Vyombo Vya Habari Katika Kutoa Maoni Yao Na Kero Zao

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII TGNP WATAWASILISHA:

Mada: Umuhimu Wa Jamii Kutumia Vyombo Vya Habari Katika Kutoa Maoni Yao Na Kero Zao

Lini: Jumatano Tarehe 08 Juni, 2011

Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni

MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo
WOTE MNAKARIBISHWA

No comments: