Monday, June 29, 2009
Wanazuoni wamlilia Profesa Haroub Othman, kuzikwa leo alasiri zanzibar
Hayati Profesa Haroub Othman
Mazishi ya Hayati Profesa Haroub Othman yamepangwa kufanyika kesho shambani kwake Chuini, Unguja. Kwa mujibu wa mwana wa marehemu, Tahir Othman, mazishi yatatanguliwa kumuombea katika swala ya alasiri katika msikiti wa Masjida Salaam uliopo Michenzani Msufini jirani na Quality Supermarket.
------------------------------------------------------
Dear brothers, sisters and comrades:
This is so devastating. I have no words. And here I am sitting in Toronto in transit to Dar tomorrow arriving Dar on July 1st afternoon. I have no one here to share my sorrow with except Parin and amil. Don't know what to do.
Feeling so helpless.
I am with you in spirit.
Collectively express my profound shock to Saida, my dear friend.
Give the best farewell ever to my dear dear friend of over 40 years.
Buriani rafiki yangu,
ndugu yangu,
kamaradi Haroub Issa
Wako,
Issa Shivji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Poleni sana familia ya marehemu Othman, Mungu awatie nguvu na moyo katika kipindi hiki kigumu cha msiba.
Hakika tumempoteza mwanamapinduzi hodari si Tanzania tu bali bara zima la Afrika.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi,Amina.
Mdau, Helsinki.
waacheni waafu wazike wafu wao!!! imeandikwa
Post a Comment