Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage NyerereBABA WA TAIFA AMBAYE ALIKUWA ANAONA MBALI KULIKO INAVYODHANIWA. HII NI NUKUU YAKE WADAU TUCHANGANUE NA KUCHANGIA;
"
DOLA LAZIMA ISIMAMIE SHERIA ILI KULINDA HAKI NA KUHIFADHI AMANI. WAJIBU HUU USIPOZINGATIWA, WATAIBUKA MANABII WENYE KUIHUBIRI HAKI KWA KUWAHUKUMU WENGINE. HAMTABAKI SALAMA MKIFIKIA HAPO"
J.K. NYERERE
No comments:
Post a Comment