Monday, November 14, 2011

UINGIZAJI WA MASUALA YA MAKUNDI MAALUMU KATIKA MCHAKATO WA UANDISHI WA KATIBA MPYA


SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII KISUVITA WATAWASILISHA:

MADA: UINGIZAJI WA MASUALA YA MAKUNDI MAALUMU KATIKA MCHAKATO WA UANDISHI WA KATIBA MPYA

Lini: Jumatano Tarehe 09 Novemba, 2011

Muda: Saa 09:00 – 11:00 Alasiri

MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni


WOTE MNAKARIBISHWA

No comments: