SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII TGNP/ BATT GROUP WATAWASILISHA:
MADA: MCHAKATO WA UANDAAJI WA BAJETI NGAZI YA JAMII TANZANIA
Lini: Jumatano Tarehe 09 Novemba, 2011
Muda: Saa 09:00 – 11:00 Alasiri
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment