Friday, November 18, 2011

Bilali afungua Mdahalo wa Umuhimu wa Katiba katiba katika Maisha ya Mtanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wageni waalikwa katika mdahalo huo kutoka Unguja.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi wa Mwalimu Nyerere, Salim Ahmed Salim (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati) wakiteta jambo na Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA) Willbroad Slaa, nje ya ukumbi, wakati Mdahalo wa Nafasi ya Umuhimu wa Katiba katika Maisha ya Watanzania, uliofunguliwa leo Novemba 17, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, katika Jumba la Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.

No comments: