Wednesday, November 23, 2011

MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA KAMPENI YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII TGNP WATAWASILISHA:

MADA: MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA KAMPENI YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

Lini: Jumatano Tarehe 23 Novemba, 2011

Muda: Saa 09:00 – 11:00 Alasiri

MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni

WOTE MNAKARIBISHWA

No comments: