Tuesday, November 3, 2009

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO AMBAPO WIKI HII,TGNP ITAFANYA "MREJESHO KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2009"
LINI: JUMATANO TAREHE 4 NOVEMBER 2009

Muda: SAA 9:00 – 11:00 JIONI

MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni


WOTE MNAKARIBISHWA!!

No comments: