Monday, July 11, 2011

HAKI YA ARDHI KWA WAHANGA WA BOMOA BOMOA KANDO KANDO YA BARABARA NCHINI

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII HAKIARDHI WATAWASILISHA:

MADA: HAKI YA ARDHI KWA WAHANGA WA BOMOA BOMOA KANDO KANDO YA BARABARA NCHINI

Lini: Jumatano Tarehe 13 Julai, 2011

Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni

MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo

WOTE MNAKARIBISHWA

No comments: