Thursday, August 6, 2009

Tamasha la ukombozi wa Wanawake kimpinduzi laja



Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP),umeandaa tamasha la ukombozi wa Wanawake katika mapinduzi kwa lengo la kuweka usawa wa jinsia kwa jamii.

Akizungumza na Waandishi wa habari hapo jana jijini dar,Mkurugenzi mtendaji wa TGNP (pichani) ,Usu Mallya alisema kuwa tamasha hilo pamoja na mambo mengine pia linalenga kuwahamasisha Wanawake kuwa na sauti ndani ya jamii.

No comments: