Monday, June 25, 2012

Semina: Katiba na Mfumo wa Elimu Nchini


SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

 UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII CHARLES KAYOKA  ATAWASILISHA

MADA: Katiba na Mfumo wa Elimu Nchini

Lini: Jumatano Tarehe 27/6/2012

Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni

MAHALI:  Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni  


WOTE MNAKARIBISHWA

No comments: