Friday, June 15, 2012

Bajeti ya Taifa ya 2012/13: Ni Kwa Manufaa ya Nani?



SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

 UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII KIKOSI KAZI BAJETI  WATAWASILISHA

MADA: Bajeti ya Taifa ya 2012/13:Ni Kwa Manufaa ya Nani? 

Lini: Jumatano Tarehe 20/6/2012

Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni

MAHALI:  Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni  


WOTE MNAKARIBISHWA

No comments: