Thursday, February 11, 2010

Uamuzi wa rufaa ya babu Seya na wanawe kutolewa leo



Babu Seya, Papii Kocha, Nguza Mbangu na Francis Nguza wakisikiliza kesi yao mwaka jana.
Mahakama ya Rufaa Tanzania baadaye leo inatarajiwa kusoma uamuzi kuhusu rufaa ya mwanamuziki huyo maarufu na hao wanawe watatu...

1 comment:

Anonymous said...

Tunanchotaka ni haki itendeke pande zote mbili (watuhumiwa na seriali).

Msafiri