Wednesday, January 7, 2009

Haya ni malezi bora kwa mtoto?


Wanaharakati wenzangu mnasemaje juu ya tabia hii ya kuwaruhusu watoto kunywa vilevi wangali wadogo, hata kama ni kuonja tuu? na tufanyeje kuwashauri wazazi wenye tabia hii waone athari zake?