SEMINA ZA JINSIA
NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA
MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII JOPO LA WAZUNGUMZAJI WATAWASILISHA
MADA: Mgomo wa Madaktari: Kiini Chake Nini?
Lini: Jumatano Tarehe 4/7/2012
Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni
MAHALI: Viwanja
vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo
Sokoni
WOTE
MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment