Friday, January 13, 2012

Msaada Kwa Saidi Tamimu Ally



Ndugu Saidi Tamimu Ally ambaye ni mlemavu wa ngozi na pia ni mlemavu wa macho, anasumbuliwa na saratani ya ngozi iliyoathiri sehemu kubwa ya uso upande wa kulia na mgongoni.Saidi anahitaji msaada wa hali na mali ili kupata matibabu , huduma ya chakula na msaada wa kisaikolojia. Ndugu Saidi anaishi Mburahati Mtaa wa Kanuni nyumba namba 393.Kwa msaada na mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana na Anna Sangai :Simu namba 0715 362373 au kwa barua pepe anna.sangai@gmail.com

No comments: