SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII TGNP WATAWASILISHA:
MADA: MIPANGO NA MIKAKATI YA GDSS KWA MWAKA 2012
Lini: Jumatano Tarehe 11 Januari, 2012
Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment