Tuesday, October 11, 2011

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII


Taaluma Women Group WATAWASILISHA:


MADA: RASIMU YA SERA YA ELIMU YA SEKONDARI NA MSINGI

Lini: Jumatano Tarehe 12 Oktoba, 2011

Muda: Saa 09:00 – 11:00 Alasiri

MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni

WOTE MNAKARIBISHWA

No comments: