SEMINA
ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA
MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII
SHIRIKA LA SHIVYAWATA WATAWASILISHA
MADA: KATIBA NA MASUALA YA WATU WENYE
ULEMAVU
Lini: Jumatano Tarehe 03/10/2012
Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni
MAHALI: Viwanja
vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE
MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment