SEMINA
ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA
JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII
TUTASHEREKEA SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO WA KIKE
NA JOPO LITATOA MADA IFUATAYO
MADA: TOKOMEZA NDOA ZA UTOTONI; KUZA
VIPAJI VYA WASICHANA
Lini: Jumatano Tarehe 10/10/2012
Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni
MAHALI: Viwanja
vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo
Sokoni
WOTE
MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment