Monday, October 15, 2012

Semina: KATIBA NA HALI YA ELIMU NCHINI



SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII MTOA MADA NI HAKIELIMU.

MADA: KATIBA NA HALI YA ELIMU NCHINI  

Lini: Jumatano Tarehe 17/10/2012

Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni

MAHALI:  Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni  


WOTE MNAKARIBISHWA

No comments: