SEMINA
ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA JUKWAA LA WAZI LA MFULULIZO
WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII MTOA MADA NI GTI/TGNP.
MADA: JE, MCHAKATO WA KATIBA MPYA UNAWABEBA
WAFANYA BIASHARA NDOGO NDOGO SOKONI?
Lini: Jumatano Tarehe 31/10/2012
Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni
MAHALI: Viwanja
vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo
Sokoni
WOTE
MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment