Tuesday, March 3, 2009

Wiki ya wanawake Duniani


Wiki hii ni wiki ya Wanawake duniani : Kauli mbiu ni " Kuhudumia wanaoishi na virusi vya Ukimwi ni jukumu la wote"

Wote wanaoishi na VVU wana haki ya upendo na huduma bora bila kujali jinsia, tabaka, rangi au umri.

No comments: