Ishukuriwe serikali imeanza kuchukua hatua madhubuti kudhibiti ukatili dhidi ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi, vinginevyo familia kama hii isingekuwa na ujasiri wa kushiriki kwenye shughuli za kijamii kama walivyofanya hawa wakati wa kuandamana kupinga ukatili huo hivi karibuni.
Wanaharakati tuendeleze vita dhidi ya ndugu zetu hawa.
1 comment:
Pinda, ni Mhe. tena Wakuu wa mawaziri. Akiwa kama msimamizi mkuu wa Serikali awezi kusikika ama kuthubutu kupendekeza kuvunjwa kwa sheria ya nchi. Kama kweli yeye na serikali yake wanawaonea huruma Maalbino basi wangewalinda ki dhati na si kujilinda wenyewe tu. Labda ulimi na hisia zake zilippekea yey kuteleza lakii je mamia na maelefu ya wanyonge wanaosulubiwa nchini kwa vile ni walemavu, au wadogo, au maskini au, wanawake bil aya afueni na hilo pia serikali imeteleza?
Post a Comment