Monday, May 26, 2014

TGNP Mtandao wakutana na wabunge Mjini Dodoma

Mhe. John Cheyo, Mbunge wa Bariadi akizungumza namna bora ya kuingiza masuala ya Jinsia katika bajeti wakati wa semina ya siku moja iliyoandaliwa na TGNP katika ukumbi wa Hazina ndogo mjini Dodoma

Mhe. John  Mnyika, Mbunge wa Ubungo akichangia baada ya mawasilisho juu ya namna ya kuhakikisha tamko la bajeti ya KIjinsia (Gender Budgeting Statement) inaingizwa kwenye kila bajeti ili kuwa na jicho la kijinsia

Mhe. Oleng'oro Mbunge wa Simanjiro akizungumzia bajeti yenye jicho la kijinsia



Mhe. Cyril Chami, Mbunge wa Moshi Vijijini akizungmza

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia wanawake na watoto, Dk. Pindi  Chana akichangia na kujibu baadhi ya masuala yaliyoibuka kwenye mjadala huo ambayo yanaihusu wizara yake



Mhe. John Komba akichangia

Kaimu Mkurugenzi wa TGNP akiteta jambo na Mbunge wa Bariadi John Cheyo

No comments: