Friday, May 9, 2014

RATIBA YA JINSI WIZARA ZITAKAVYOWASILISHA BAJETI 2014/2015




JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA










RATIBA YA JINSI WIZARA ZITAKAVYOWASILISHA BAJETI ZAO KWENYE MKUTANO WA KUMI NA TANO WA BUNGE UTAKAOANZA TAREHE 6 MEI, 2014 HADI 27 JUNI, 2014 KWA BAJETI YA
MWAKA 2014/2015









    



OFISI YA BUNGE
S. L. P. 9133
DAR ES SALAAM



RATIBA YA JINSI WIZARA ZITAKAVYOWASILISHA BAJETI ZAO KWENYE MKUTANO WA BAJETI YA MWAKA 2014/2015

NA.
TAREHE NA SIKU

SHUGHULI HUSIKA NA WIZARA
MUDA WA VIKAO/SIKU
1.
JUMANNE- ALHAMISI
6/5/2014- 8/5/2014
Mkutano wa Bunge kuanza kwa shughuli zifuatazo.

(i)          Maswali;

(ii)        Kikao cha Briefing kwa Wajumbe wote

HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU: (Siku 3)


·         SERA, URATIBU NA BUNGE.

·         UWEKEZAJI NA UWEZESHAJI.

·         TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA



Saa 3.00 - 4.00Asb

Saa 4.00 - 7.00


Saa 4.00 Asb  – 7.00 Mchana

NA

Saa 10.00 Jioni - 2.00 Usiku
2.
IJUMAA
9/5/2014









KUANZIA SAA 1.00 USIKU
  • Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA RAIS:

  • MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA

  • UTAWALA BORA

  • MAHUSIANO NA URATIBU

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA
Saa 3.00 – 4.00Asb

Saa4.00 Asb -7.00 Mchana

NA
Saa 10.00 Jioni – 1.00 Usiku



Saa 1.00 Usiku - 2.00 Usiku
3.
JUMAMOSI
10/5/2014

  • HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA



Saa 3.00 Asb  – 7.00 Mchana

NA

Saa 10.00 Jioni - 2.00 Usiku
4.
JUMATATU
12/5/2014








KUANZIA SAA 1.00 USIKU
  • Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

  • MUUNGANO.

  • MAZINGIRA



 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAJI
Saa 3.00 - 4.00Asb

Saa 4.00 Asb  – 7.00 Mchana

NA

Saa 10.00 Jioni - 1.00 Usiku

Saa 1.00 Usiku - 2.00 Usiku
5.
JUMANNE
13/5/2014

  • Maswali

  • HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAJI.

Saa 3.00 - 4.00Asb

Saa 4.00 Asb  – 7.00 Mchana

NA

Saa 10.00 Jioni - 2.00 Usiku
6.
JUMATANO
14/5/2014






KUANZIA SAA 1.00 USIKU
  • Maswali

  • HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA.



  • HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII.
Saa 3.00 - 4.00Asb

Saa 4.00 Asb  – 7.00 Mchana
NA
Saa 10.00 Jioni - 1.00 Usiku

Saa 1.00 Usiku - 2.00 Usiku
7


ALHAMISI
15/5/2014
  • Maswali

  • HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII.


Saa 3.00 - 4.00Asb

Saa 4.00 Asb  – 7.00 Mchana
NA
Saa 10.00 Jioni - 2.00 Usiku
8
IJUMAA
16/5/2014





KUANZIA SAA 1.00 USIKU
·      Maswali

·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KATIBA NA SHERIA



·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Saa 3.00 - 4.00Asb

Saa 4.00 Asb – 7.00 Mchana
NA
Saa 10.00 Jioni – 1.00 Usiku

Saa 1.00 Usiku - 2.00 Usiku
9.

JUMAMOSI
17/5/2014


·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


Saa 3.00 Asb  – 7.00 Mchana

NA

Saa 10.00 Jioni - 2.00 Usiku
10.

JUMATATU
19/5/2014





KUANZIA SAA 1.00 USIKU
·      Maswali

·   HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO



·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
Saa 3.00 - 4.00Asb

Saa 4.00 Asb – 7.00 Mchana
NA
Saa 10.00 Jioni – 1.00 Usiku

Saa 1.00 Usiku - 2.00 Usiku
11.
JUMANNE
20/5/2014
  • Maswali

  • HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI





Saa 3.00 - 4.00 Asb

Saa 3.00 Asb  – 7.00 Mchana

NA
Saa 10.00 Jioni - 2.00 Usiku
12.
JUMATANO
21/5/2014






KUANZIA SAA 1.00 USIKU
·      Maswali

·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA




·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI.
Saa3.00- 4.00Asb

Saa 4.00 Asb – 7.00 Mchana
NA
Saa 10.00 Jioni – 1.00 Usiku

Saa 1.00 Usiku - 2.00 Usiku
13.
ALHAMISI
22/5/2014
·     Maswali

·     HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI.
Saa 3.00 - 4.00Asb

Saa 4.00 Asb  – 7.00 Mchana

NA

Saa 10.00 Jioni - 2.00 Usiku
14.
IJUMAA
23/5/2014






KUANZIA SAA 1.00 USIKU
·      Maswali

·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI.



·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI.
Saa 3.00 - 4.00 Asb

Saa 4.00 Asb – 7.00 Mchana
NA
Saa 10.00 Jioni – 1.00 Usiku

Saa 1.00 Usiku - 2.00 Usiku
15.
JUMAMOSI
24/5/2013

·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI.



Saa 3.00 Asb  – 7.00 Mchana

NA
Saa 10.00 Jioni - 2.00 Usiku
16.
JUMATATU
 26/5/2014







KUANZIA SAA 1.00 USIKU
  • Maswali

  • HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO



·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
Saa 3.00 – 4.00Asb

Saa 4.00 Asb – 7.00 Mchana
NA
Saa 10.00 Jioni – 1.00 Usiku

Saa 1.00 Usiku - 2.00 Usiku

17.
JUMANNE
27/5/2014







·      Maswali

·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI

Saa 3.00 - 4.00 Asb

Saa 4.00 Asb  – 7.00 Mchana

NA
Saa 10.00 Jioni - 2.00 Usiku
18.
JUMATANO
28/5/2014





KUANZIA SAA 1.00 USIKU

·     Maswali

·     HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA.


·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UCHUKUZI.


Saa 3.00 - 4.00 Asb

Saa 4.00 Asb – 7.00 Mchana
NA
Saa 10.00 Jioni – 1.00 Usiku

Saa 1.00 Usiku - 2.00 Usiku
19.
ALHAMISI
29/5/2014

·     Maswali

·     HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UCHUKUZI
Saa 3.00 - 4.00 Asb

Saa 4.00 Asb  – 7.00 Mchana

NA
Saa 10.00 Jioni - 2.00 Usiku
20.
IJUMAA
30/5/2014






KUANZIA SAA 1.00 USIKU

·      Maswali

·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA KAZI NA AJIRA.




·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI.
Saa 3.00 - 4.00 Asb

Saa 4.00 Asb – 7.00 Mchana
NA
Saa 10.00 Jioni – 1.00 Usiku

Saa 1.00 Usiku - 2.00 Usiku

21.

JUMAMOSI
31/5/2014

·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI.





Saa 3.00 Asb  – 7.00 Mchana

NA
Saa 10.00 Jioni - 2.00 Usiku
22.
JUMATATU
02/6/2014








KUANZIA SAA 1.00 USIKU
·      Maswali

·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA.



·      HOTUBA YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII

Saa 3.00 - 4.00 Asb

Saa 4.00 Asb – 7.00 Mchana
NA
Saa 10.00 Jioni – 1.00 Usiku

Saa 1.00 Usiku - 2.00 Usiku
23.
JUMANNE
03/6/2014
·      Maswali

·      HOTUBA YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII





Saa 3.00 - 4.00 Asb

Saa 4.00 Asb  – 7.00 Mchana

NA
Saa 10.00 Jioni - 2.00 Usiku
24.
JUMATANO
04/6/2014
·      Maswali

·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA.



Saa 3.00 – 4.00 Asb

Saa 4.00 Asb  – 7.00 Mchana
NA
Saa 10.00 Jioni - 2.00 Usiku
25.
ALHAMISI - JUMATANO
05/6/2014- 11/6/2014

(i)            Maswali;

Serikali  kushauriana na Kamati ya Bajeti Kufanya Majumuisho kuzingatia Hoja zenye Maslahi kwa Taifa zilizojitokeza wakati wa kujadili Bajeti za Wizara;( Siku 6)


(ii)   Uchaguzi wa Wajumbe watakaowakilisha Bunge katika Taasisi/Vyuo mbalimbali;
(iii)  Shughuli nyingine yoyote kama itakavyokuwa imeelekezwa na Spika.
Saa 3.00 - 4.00 Asb


26.
ALHAMISI
12/6/2014
·            Maswali


(i)          Waziri anayehusika na Mipango Kusoma Taarifa ya Hali ya Uchumi.


(ii)        Waziri wa Fedha Kusoma Hotuba ya Bajeti ya Serikali.

Saa 3.00 - 4.00 Asb


Saa 4.00 Asubuhi




10.00 Jioni
27.
IJUMAA
13/6/2014
Wajumbe Kusoma na kutafakari Hotuba ya Bajeti
Siku 1

28.
JUMATATU - JUMANNE
16/6/2014- 24/6/2014


·         Maswali

·         MJADALA KUHUSU BAJETI  (Siku 7)

YA SERIKALI
Saa 3.00- 4.00 Asb

Saa 4.00 Asb – 7.00 Mchana
NA
Saa 10.00 Jioni – 2.00 Usiku
29.
JUMATANO
25/6/2014
·      Maswali

·      The Appropriation Bill, 2014
·      The Finance Bill, 2014



Saa 3.00 - 4.00 Asb

Saa 4.00 Asb – 7.00 Mchana
NA
Saa 10.00 Jioni – 2.00 Usiku
30.
ALHAMISI
26/6/2014

·      Maswali


·      The Finance Bill, 2014





Saa 3.00 – 4.00 Asb


Saa 4.00 Asb – 7.00 Mchana

NA
Saa 10.00 Jioni – 2.00 Usiku
31
IJUMAA
27/6/2014
  • Maswali

·      The Finance Bill, (kusomwa kwa mara ya tatu)

·      HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE
Saa 3.00- 4.00 Asb

Saa 4.00 Asb – 7.00 Mchana

NA
Saa 10.00 Jioni – 2.00 Usiku





NOTE:


  WIZARA ZILIZOONGEZEWA MUDA WA SAA MOJA

Text Box: WIZARA ZILIZOPUNGUZIWA MUDA WA SAA MOJA

No comments: