Friday, May 9, 2014

MKUTANO NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI UKUMBI WA MIKUTANO TGNP




TGNP Mtandao kesho Jumamosi Mei 10,2014 watakutana na wahariri wa vyombo vya habari mbalimbali jijini Dar es salaam, kujadiliana kwa pamoja masuala muhimu hasa nafasi ya vyombo vya habari katika kuendeleza vuguvugu la harakati za ukombozi wa wanawake kimapinduzi.
pamoja na hayo watajadiliana kwa uandani juu ya shughuli za TGNP kwa mwaka huu 2014 na jinsi ya kuendeleza ushirikiano ili kuhakikisha jamii inanufaika na habari zinazochapwa au kutangazwa na vyombo vya habari.


TGNP Mtandao
S.L.P 8921, Dar es salaam

MKUTANO NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI
UKUMBI WA MIKUTANO TGNP
DAR ES SALAAM

                               TAREHE 10 Mei 2014

                                   
MALENGO:
1)      Kujadili kwa pamoja mchakato wa bajeti kwa mrengo wa kijinsia na matokeo ya IMBC 2013 na 2014
2)      Kujenga mikakati ya baadae, kutandaa na kupashana habari
     
                                               RATIBA

MUDA
SHUGHULI
MHUSIKA

3:30 – 4:00
Washiriki kufika na kujiandikisha

Wote
4:00-4:20
Neno la ukaribisho na utambulisho

Keny Ngomuo/Deo Temba
4:20 – 4:40
Ufunguzi na muktadha
Mkurugenzi Mtendaji (TGNP Mtandao

4:40- 5:40
Nafasi ya vyombo vya habari katika mchakato wa bajeti na utengenezaji wa bajaeti kwa mrengo wa kijinsia
  • Mahusiano ya bajaeti na changamoto zinazoibuliwa na wananchi kwenye utafiti raghibishi vijijini na mijini
Usu Mallya

Agnes Lukanga
5:40-6:10
Majadiliano
Wote
6:10-6:30
Way forward
Keny/Deo Temba

No comments: