Mahafali ya pili ya Chuo cha mafunzo ya Jinsina Maendeleo (GTI) kilichoko Mabibo Dar es salaam kinachomilikiwa na TGNP Mtandao ymefanyika.
Mwenyekiti wa Bodi ya GTI akijadiliana jambo na kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao Lilian Liundi kabla ya kuanza kwa mahafali hayo |
katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya GTI, kushoto Mkuu wa Chuo Zuki Mihyo na kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Lilian Liundi |
wahitimu wote wakiwa na uongozi wa TGNP Mtndao na GTI pamoja na wakufunzi wa GTI |
wahitimu wakiwa wanafuatilia |
wahitimu wakisikiliza |
Mwenyekiti wa Bodi na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP wakiteta jambo |
No comments:
Post a Comment