Friday, November 16, 2012

Semina: KATIBA NA HAKI ZA WAZEE TANZANIA



SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

UNAKARIBISHWA KATIKA JUKWAA LA WAZI LA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII

  MTOA MADA NI:  Juliana Benard /HelpAge   

MADA: KATIBA NA HAKI ZA WAZEE TANZANIA    

Lini: Jumatano Tarehe 21/11/2012

Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni

MAHALI:  Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni  


WOTE MNAKARIBISHWA

No comments: