SEMINA
ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA
MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII Prof.
Marjorie Mbilinyi na Geofrey Chambua WATAWASILISHA
MADA:Jinsia na Kilimo Katika Muktadha wa
Kibepari: Bajeti ya Kilimo na Chakula
Lini: Jumatano Tarehe 22/8//2012
Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni
MAHALI: Viwanja
vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo
Sokoni
WOTE
MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment