SEMINA ZA
JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA
MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII BAHATI SEMWANO; TAHURIFO, ATAWASILISHA:
MADA: Changamoto za Sheria Kandamizi
Kwa Wanawake Katika Muktadha wa Katiba
Lini: Jumatano Tarehe 02 May, 2012
Muda: Saa 09:00 Mchana – 11:00 Jioni
MAHALI: Viwanja
vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo
Sokoni
WOTE
MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment