SEMINA ZA
JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA
MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII Deus Kibamba/TCIB ATAWASILISHA
MADA: Mchakato wa Katiba Mpya:Je, Masuala ya
Wanawake na Makundi Yaliyoko Pembezoni Yatabebwa?
Lini: Jumatano Tarehe 30 Mei, 2012
Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni
MAHALI: Viwanja
vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo
Sokoni
WOTE
MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment