Mwanachama wa TGNP Mtandao Maimuna Kanyamala ambaye pia ni mwanzilishi wa shirika la KIVULINI la Mwanza akitoa mada juu ya madhara ya ukeketaji na hali halisi ya ukeketaji nchini na Tarime kwa ujumla |
Viongozi wa serikali waliohudhuria wakitembelea maonesho ya bidhaa za wanawake |
wasichana walioshiriki wakifuatilia kw aumakini mada zilizokuwa zikitolewa na watoa mada hawapo pichani |
watoto wakifuatilia mada |
washiriki wanaotoka moja ya kikundi cha kijamii kinacho unda kituo cha taarifa na maarifa Nyamaraga ambao walishiriki kikamiliufu kuandaa tamasha hili |
washiriki wakitoa mrejesho wa makundi yaliyoshiriki warsha mbalimbali zilizoendeshwa siku ya pili na ya tatu ya tamasha hilo |
No comments:
Post a Comment