UMATI WA WANANCHI WA TARIME WALIOFURIKA KWENYE TAMASHA LA TGNP TARIME |
Mzee wa mila John Ryobi akicheza ngoma kwa hisia kali |
ngoma ya Ritungu ilipokolea hakuna anayejitambua tena |
mamia ya wanawake na wanaume wakiwemo watoto walifurika kusheherekea mafanikio ya harakati za ukombozi wa Mwanamke na kupinga ukatili dhidi ya wanawake Tarime |
Watoto wakicheza kwa hisia ngoma maarufu kwa kabila la wakuria "Ritungu" |
watoto wa kike walitumia ipasavyo fursa na nafasi iliyopatikana kupaaza sauti zao kukataa ukeketaji hapa wanatoa ngonjera ya kupinga ukeketaji |
"sisi wasichana wa kisasa hatutaki kukeketwa" ndivyo walivyokuwa wakiimba wasichana hawa wa kijiji cha Ng'ereng'ere kata ya Nyamaraaga Tarime |
wasichana wakiendelea na kukataa kukeketwa |
Mgeni rasmi Afisa Tawala wa Wilaya ya Tarime Baraka Nyamsende akiingia uwanjani na kulakiwa na mamia ya washiriki wa kongamano kwa nuchezewa ngoma ya Ritungu |
kampeni ya kupinga ukeketaji na ukatili wa kijinsia kwa wanawake Tarime iliyoongozwa na TGNP ilitawaliwa na kila aina ya Burudani |
No comments:
Post a Comment