Wednesday, December 1, 2010

MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA


Watu mbalimbali waliofika kwenye maadhimisho ya kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia leo kwenye viwanja vya Mtandao wa Jinsia (TGNP) jijini leo.


Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Usu Mallya (Pili kushoto) akimkabidhi mlemavu wa viungo Maria Patrick baiskeli iliyotolewa na Mchungaji wa kanisa la Pentekoste Missionarieis, Gervas Masanja wakati wa maadhimisho ya siku ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia katika viwanja vya TGNP.



Mkurugenzi wa TGNP Usu Mallya akimkaribisha Mwenyekiti wa TGNP Mary Rusimbi pamoja na wageni waliohudhuria maadhimisho ya kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwenye viwanja vya TGNP

2 comments:

MWEKO said...

Kuna haja sasa tuwe tunafuatilia masuala ya GBV muda wote na sio kwenye haya maazimisho ya siku 16 za kupinga Ukatili huu tu kwani tukijenga tabia ya kujadili masuala haya tutaweza kuijenga jamii yetu vizuri zaidi.

Unknown said...

Ni haki yako ewe mwanajamii, kujieleza na kueleza yaliyojili juu ya suala zima la ukatili wa kijinsia, kwani ni njia mojawapo y a kuelimisha na kukomesha kwa ujumla."UKIMYA UNAUA, SAUTI INAOKOA"