Friday, October 17, 2008

MAANDAMANO YA AMANI KULAANI MAUAJI YA ALBINO NCHINI

MAANDAMANO!!!MAANDAMANO!


CHAMA CHA MAALBINO TANZANIA KWA KUSHIRIKIANA NA WANAHARAKATI NA WADAU MBALIMBALI WA HAKI ZA BINADAMU WANAKUALIKA KUSHIRIKI KWENYE MAANDAMANO YA AMANI;KULAANI MAUAJI YA ALBINO NCHINI


LINI: JUMAPILI TAREHE 19 OKTOBA 2008

Muda: Kuanzia Saa 2:00 Asubuhi HADI

SAA 6:00 Mchana

MGENI RASMI NI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE

MAHALI: KUANZIA SHULE YA MSINGI UHURU HADI VIWANJA VYA KARIMJEE



TUJITOKEZE KWA WINGI..!!!!!!



TAFADHALI ALIKA WATU WENGI SANA KUPITIA UJUMBE HUU!!!!!

3 comments:

Anonymous said...

Yaani leo ndio Mheshimiwa Kikwete ndio kaona awasikilize Albino!!! Muda wote huo wameuawa hajawahi hata kutoa tamko na wala hata waziri wake mmoja kukemea mauaji hayo!!

Haya tutaenda kumsikiliza anachosema.

Mkereketwa wa GDSS

Anonymous said...

thanks guys, we will be there!!

Anonymous said...

hii ni aibu kwa nchi kama tanzania kushindwa kuweka ulinzi kwa albino serikali yetu inaonekana jinsi gani isivyokuwa makini katika kuhahakisha usalama wa raia wake. Tunaitaka serikali kuchukulia mkazo swala hili kwani linaaibisha nchi yetu sana.

Mwanaharakati.