Thursday, September 4, 2014

TGNP Mtandao wakiendesha Bunge Mbadala (Bunge Kivuli) Dodoma

Washiriki kutoka kundi la walemavu wakiozungumza

Mshiriki kutoka kundi la walemavu wasiosikia akizungumza

Mwanaharakati Salome Nyoti akizungumza  kama mwongozaji

Wanaharakati vijana kutoka DSM wakitoa ngonjera yao kwa hisia kali

Maandamano ya wanaharakati mjini Dodoma kudai mauala yao iangizngiwzwe kwenye katiba

Maandamano yakiendelea

Maandamano yakiendelea

Vijana wakitoa ujumbe mzito kwa njia ya sanaa

Mwenyekiti wa Bunge Mbadala (Kivuli) akiongoza maandamano

Washiriki wakiingia








Bunge maalum la katiba Mbadala (Kivuli)m likiendelea


No comments: