Wanaharakati waliohudhuria semina ya kwanza ya uzinduzi wa blogu iliyofanyika katika ukumbi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Mabibo, Dar-es-Salaam - Tanzania ( Picha kwa hisani ya Dismas Zunda)
hongera da'Kenny kwa kuonyesha jinsi wanawake mnavyoweza kublogu. nitakuwa nanyi bega kwa bega kwa kuhakikisha naitembelea hii blog au sio? wanawake hoyeeeeeeeeeeee nani kama mama? sio baba wala ba'mdogo
2 comments:
Hongera sana wanamtandao wenzangu, nimefurahi tumepata ulingo wa kujadilia masuala yetu yanayoigusa jamii yetu.
Cheers!!!
Eddy
hongera da'Kenny kwa kuonyesha jinsi wanawake mnavyoweza kublogu. nitakuwa nanyi bega kwa bega kwa kuhakikisha naitembelea hii blog au sio? wanawake hoyeeeeeeeeeeee
nani kama mama? sio baba wala ba'mdogo
Post a Comment