Wednesday, June 11, 2008

SEMINA YA KWANZA YA KUJIFUNZA BLOGU

Wanaharakati waliohudhuria semina ya kwanza ya uzinduzi wa blogu iliyofanyika katika ukumbi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Mabibo, Dar-es-Salaam - Tanzania ( Picha kwa hisani ya Dismas Zunda)

2 comments:

Author said...

Hongera sana wanamtandao wenzangu, nimefurahi tumepata ulingo wa kujadilia masuala yetu yanayoigusa jamii yetu.

Cheers!!!

Eddy

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

hongera da'Kenny kwa kuonyesha jinsi wanawake mnavyoweza kublogu. nitakuwa nanyi bega kwa bega kwa kuhakikisha naitembelea hii blog au sio? wanawake hoyeeeeeeeeeeee
nani kama mama? sio baba wala ba'mdogo