KARIBUNI WANAHARAKATI
Karibuni kwenye blogu ya Rudisha Rasilimali Kwa Wananchi. Sisi ni Wanaharakati wa Semina za kila Jumatano za Jinsia na Maendeleo (GDSS) ambao tuko katika harakati za kuhakikisha kuwa rasilimali zetu zinanufaisha jamii nzima kwa ujumla na sio watu wachache tu. Vunja ukimya!
1 comment:
Napenda kuwapongeza sana wanaGDSS kwa hatua mliyofikia. Nimekubali mkoo juu ya mstari. Endelezeni mapambano.
Kossy
Post a Comment