Kaimu
Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzani TGNP, Lilian Liundi
(katikati), akitoa hotuba yake wakati wa kongamano la wazi wa jamii
kujadili mchakato wa kutengeneza katiba mambo muhimu yaliojadiliwa
katika kongamano hilo ni ilani ya wanawake katika katiba mpya kuangalia
suala la usawa wa kijinsia, wanawake wanapata haki zao za msingi hasa
katika suala la matibabu, uzazi salama, elimu, maji salama, ushiriki wa
kutosha katika nafasi za ajira ngazi zote na ushiriki sawa katika nafasi
za maamuzi na ulinzi wa kutosha kutokana na kukithiri kwa ukatili wa
Kijinsia, kongamano hilo lilifanyika Agosti 6,2014 TGNP jijini Dar es
Salaam (kushoto), Mdau wa Maendeleo Humphrey Polepole, na kulia
Mwanaharakati wa Masuala ya Kijamii na Haki za Binaadamu, Gemma Akimali. |
No comments:
Post a Comment