Thursday, November 27, 2008

UKATILI HUU DHIDI YA ALBINO UTAISHA LINI?

Pichani Mwajuma Hassan ambaye anaulemavu wa ngozi (ALBINO) akibubujikwa na machozi baada ya kuona mchoro wa msichana albino aliyekatwa mikono hivi karibuni. Mchoro huu ni mojawapo wa michoro mingi ambayo ipo katika banda la maonyessho ya maadhimisho ya siku 16 za uanaharakati zinazoazimishwa katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP. Maonyesho hayo yanaendela mpaka tarehe 10 Desemba 2008, karibu ujionee michoro inyoeleza hali halisi ya ukatili wa kijinsia. Usisubiri kusimuliwa!


(Picha Kwa hisani ya The Guardian, 27/11/2008.)

2 comments:

Anonymous said...

bado jamii inazembea mauaji ya albino, ni wajibu wetu sisi kama jamii kupambana na mauaji haya ya kikatili kwa ndugu zetu hawa.

Anonymous said...

bado jamii inazembea mauaji ya albino, ni wajibu wetu sisi kama jamii kupambana na mauaji haya ya kikatili kwa ndugu zetu hawa.