Wednesday, November 26, 2008

Pinga Ubakaji kwa Wanawake na Watoto


Wanawake na watoto wataendelea kubakwa mpaka lini? Usikae kimya, hakikisha sheria inachukua mkondo wake!

1 comment:

Anonymous said...

Jamii inaweza kubadilika endapo itaamua kubadilika kwa maslahi ya ya kizazi kijacho. Wanaume wastaraabu hawabaki. KWeli wanaume ni chanzo cha mabadiliko katika hili.