Friday, July 4, 2008

TANGAZO LA SEMINA ZA KILA JUMATANO

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO
KILA JUMATANO

9th July, 2008

3:00p.m. - 5:00p.m

MADA: Mgogoro wa Zimbabwe na Hatima Yake

Mwakilishi: Carol Thompson:

Wasifu: Alifundisha UDSM, 1977-79.
Aliishi Zimbabwe, Wakati akifanya kazi katika shirika la SADC kwa Miaka 10 tangu Mwaka 1984 (Miaka 23 iliyopita).

Mchepuo: Professor, Political Economy, Northern Arizona University, USA.

MAHALI: TGNP/GENDER RESOURCE CENTRE, MABIBO ROAD – ADJ. NIT, DSM

KARIBUNI WOTE!!!

2 comments:

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

yule mzimbabwe wa lats week aliniacha hoi, yaani hajui kama kuna wazungu wenzake wanaonyanyaswa na kupingwa nchini zimbabwe na badala yake anaongelea akina mama na watoto wa zimbabwe tu? mbona haongelei matatizo mengine ya nchi za kiaffrika? au kwa sababu Mugabe kakataa wakoloni mamboleo wenye rangi kama ya carol waitawale z'bwe kupitia vibaraka? ashindwe!
end of imperialism carelessly of the muzungus married by Africans who are western minded!
wakome!

Anonymous said...

ya Mugabe 2muachie mwenyewe