Mahafali ya pili ya Chuo cha mafunzo ya Jinsina Maendeleo (GTI) kilichoko Mabibo Dar es salaam kinachomilikiwa na TGNP Mtandao ymefanyika.
| Mwenyekiti wa Bodi ya GTI akijadiliana jambo na kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao Lilian Liundi kabla ya kuanza kwa mahafali hayo |
| katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya GTI, kushoto Mkuu wa Chuo Zuki Mihyo na kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Lilian Liundi |
| wahitimu wote wakiwa na uongozi wa TGNP Mtndao na GTI pamoja na wakufunzi wa GTI |
| wahitimu wakiwa wanafuatilia |
| wahitimu wakisikiliza |
| Mwenyekiti wa Bodi na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP wakiteta jambo |
No comments:
Post a Comment