Friday, April 20, 2012

Haki ya Ajira Kwa Wanawake Katika Mchakato wa Katiba

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII JULIANA MPANDUJI ATAWASILISHA:

MADA: Haki ya Ajira Kwa Wanawake Katika Mchakato wa Katiba Lini: Jumatano Tarehe 25 Aprili, 2012

Muda: Saa 09:00 Mchana – 11:00 Jioni

MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni

WOTE MNAKARIBISHWA

No comments: